Naibu Gavana wa Machakos awaomba wazazi kuweka akiba ya karo, kando na burudani

  • | NTV Video
    317 views

    Naibu gavana wa Machakos Francis Mwangangi, amewaomba wazazi kuweka akiba ya bajeti ya karo za shule, huku akisema kuwa elimu ya watoto haipaswi kupigiwa debe na burudani kwa kisingizio cha krismasi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya