Naibu Gavana wa Siaya, William Oduol, alalamikia kudhalilishwa na Serikali ya Siaya

 • | TV 47
  52 views

  Naibu Gavana wa Siaya, William Oduol, alalamikia kudhalilishwa na Serikali ya Siaya.

  Kumekua na udhia baina ya Oduol na Gavana.

  Oduol: Sijapata ofisi tangu kesi yangu kutupiliwa mbali.

  Anaomba seneti kuingilia kati na kumuondolea masaibu yake.

  Naibu Gavana Oduol aibua masaibu anayopitia katika kaunti ya Siaya.

  #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

  *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

  Connect with us:

  Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __