Naibu Gavana wa Trans Nzoia apewa makataa ya kurejea kazini au atimuliwe

  • | West TV
    188 views
    Kiongozi wa walio wachache kwenye bunge la kaunti ya trans nzoia ametishia kuanziasha mchakato wa kumtimua naibu gavana wa kaunti iyo bi. Philomena kapkory kwa msingi ya kutokuwepo afisini kwa takribani miezi mitano kufikia sasa.