Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Lagat Eliud afika mbele ya IPOA

  • | Citizen TV
    6,436 views

    Naibu Inspekta Jenerali wa polisi anayekumbwa na utata Eliud Lagat leo ameandikisha taarifa na maafisa wa uchunguzi kutoka halmashauri ya utendakazi wa polisi IPOA, kuhusiana na mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang