Naibu mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Chemoe auawa na washukiwa wa uhalifu, Baringo

  • | K24 Video
    23 views

    Naibu mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Chemoe katika wadi ya Bartabwa, eneo bunge la Baringo kaskazini, alipigwa risasi na kuuwawa na washukiwa wa uhalifu, tukio hili linajiiri siku tano baada ya wahalifu kuua watu watano katika mashambulizi mawili tofauti huko Chemoe na Ng'aratuko, Baringo kaskazini.