Naibu OCS wa Nyanchwa atuhumiwa kwa madai ya wizi wa vipuri vya magari yaliyokamatwa

  • | Citizen TV
    5,208 views

    Maafisa wa DCI kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi dhidi ya naibu OCS wa kituo cha polisi cha Nyanchwa kufuatia madai ya kuhusika na kuuza vipuri vya magari yaliyokamatwa na kuzuiliwa katika kituo hicho cha polisi. Mtu mmoja amekamatwa baada ya kukiri kuuziwa vipuri na afisa huyo.