Naibu rais ahimiza matumuzi bora ya fedha zilizotengwa kudhibiti athari za El Nino.

  • | KBC Video
    29 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amehakikishia nchi kuhusu jinsi serikali ilivyojiandaa kabla ya mvua ya El-Nino inayotarajiwa kuanza mwezi huu hadi Januari mwaka 2024. Naibu rais anahimiza matumuzi bora ya fedha zilizotengwa kudhibiti athari za el nino akizitaka kwamba serikali za kaunti zinashirikiana na serikali ya kitaifa kudhibiti athari za mvua hiyo. Gachagua alisema hayo mtaani Karen jijini Nairobi wakati wa kikao cha kukadiria mikakati ya kukabiliana na athari za El Nino.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News