Naibu Rais akutana na viongozi wa Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    45 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki amewahakikishia wenyeji wa eneo la kaskazini mashariki kuwa miradi mikuu ya maendeleo iliyoasisiwa na serikali itakamilika katika muda ulioratibiwa, ili kuliwezesha eneo hilo kupiga hatua sawa na kaunti zingine nchini.