Naibu Rais akutana na wasanii wapatao 2,000 Irunduni kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    202 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki leo amekutana na wasanii elfu mbili katika eneo la Irunduni kaunti ya Tharaka Nithi akiahidi kuwa serikali itawaunga mkono kuimarisha sekta za muziki na sanaa