21 Aug 2025 1:43 pm | Citizen TV 404 views Duration: 1:21 Naibu Rais Kithure Kindiki leo amekutana na wasanii elfu mbili katika eneo la Irunduni kaunti ya Tharaka Nithi akiahidi kuwa serikali itawaunga mkono kuimarisha sekta za muziki na sanaa