Naibu Rais aongoza hafla ya mchango Machakos na Nyamira

  • | Citizen TV
    766 views

    Naibu Rais Prof. Kithure kindiki leo aliongoza mchango wa shilingi milioni 20 katika kaunti mbili za Machakos na Nyamira, Rais na Naibu wake wakichanga shilingi milioni kumi peke yao.