Naibu rais apuuza tetesi za kampeni ya mapema

  • | KBC Video
    46 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amepuuzilia mbali madai ya kujihusisha katika kampeni za mapema kupitia mipango inayoendelea ya uwezeshaji kiuchumi.Kindiki alisema uwezeshaji watu wa tabaka ya chini katika jamii, ilikuwa moja ya ahadi za kampeni za serikali. Haya yanajiri huku baadhi ya viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wakikita hema katika kaunti ya Baringo ,ambako walipuuzilia mbali madai ya kuwepo njama ya kuiba kura,wakisisitiza kuwa rais Ruto atachaguliwa tena kwa kuzingatia ufanisi wake katika maendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive