Naibu rais ataka ushirikiano wa serikali na viongozi wa kidini kumaliza kero ya pombe

  • | Citizen TV
    168 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amesisitiza kuwa serikali haitalegeza kamba kwenye vita dhidi ya pombe haramu na mihadarati.