Naibu Rais awataka viongozi kuzungumza kwa sauti moja

  • | Citizen TV
    1,682 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki aamewataka viongozi walioko serikalini kuzungumza kwa sauti moja ili kuwezesha kutimizwa kwa ahadi walizotoa kwa wananchi. Kindiki amesema mivutano ya viongozi serikalini ilichelewesha utekelezaji wa miradi na kuwataka viongozi kutumia muda uliosalia kuwajibikia majukumu yao.