Naibu rais Gachagua aahidi kukabiliana na wakiritimba katika sekta ya kahawa

  • | K24 Video
    133 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amewataka viongozi wa mlima Kenya kuzingatia umoja na kujiepusha na semi ambazo zitaleta mgawanyiko baina yao. Gachagua vile vile amewataka wa kulima wa kahawa katika eneo hilo wampe muda ili akabiliane na madalali anaodai wanalemaza ufanisi wa sekta hiyo, amewataka wakenya waipe muda serikali ya kenya kwanza ili ilainishe mambo kuhusiana na kupanda kwa gharama ya maisha