Naibu Rais Gachagua alikabiliwa na mashtaka zaidi ya 11 bungeni

  • | Citizen TV
    7,689 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua alikabiliwa na mashtaka zaidi ya 11 alipojitetea katika bunge la kitaifa siku ya Jumanne. Wabunge waliibua masuala ambayo hayakuwa miongoni mwa mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yake, wakizingatia mitazamo yao ya kibinafsi kuhusu jinsi walivyotangamana na Gachagua