Naibu Rais Gachagua amesema hamna mazungumzo yatafanyika baina ya Serikali na Raila

 • | NTV Video
  1,157 views

  Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema abadan Kataan hamna mazungumzo yatafanyika baina ya Serikali na Raila Odinga kwa msingi wa kuunda serikali ya nusu mkate. Naibu rais Rigathi Gachagua ameshikilia kwamba mazungumzo na kinara wa Azimio Raila Odinga yatakuwa tu kulenga kujiuzulu wake kwenye ulingo wa siasa.

  Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

  Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

  https://www.ntvkenya.co.ke