Naibu rais Gachagua atetea kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli

  • | K24 Video
    153 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amewarai wenyeji wa Mlima Kenya kuwa kuivumilia serikali ya Kenya Kwanza inapojibidiisha kushugulikia swala la gharama ya juu ya maisha.Gachagua alikuwa akimwakilisha rais william ruto katika mazishi ya Teresia Wangechi, mamake naibu mkuu wa jeshi Luteni Jenerali Jonah Mwangi katika kaunti ya Nyandarua. Kwingineko huko Kajiado, mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ameonya kwamba migogoro ya ndani kwa ndani serikalini haitavumiliwa kamwe.