Naibu rais Gachagua awataka walio kwenye hatari kuhama

  • | Citizen TV
    5,565 views

    Haya yakijiri, ujumbe wa serikali ulioongozwa na naibu rais Rigathi Gachagua ulizuru eneo la mkasa na kutoa msaada wa chakula na sehemu za malazi kwa waathiriwa. Naibu Rais pia akitoa onyo kwa watu wanaoishi maeneo yaliyo kwenye athari ya mafuriko kuhama mara moja,huku mawaziri Kipchumba Murkomen, Kithure Kindiki na Salim Mvurya wakitoa kauli zao..