Naibu rais Gachagua ayapa mataifa ya Afrika changamoto ya kuimarisha biashara Afrika

  • | K24 Video
    140 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amewataka viongozi wa nchi mbalimbali barani Afrika kuiga Kenya katika kuhakikisha hakuna mipaka inayozuia ukuzaji biashara. Akiwa katika hafla ya kuadhimisha miaka 60 ya mapinduzi Zanzibar, Gachagua amesema hatua hiyo itarahisisha biashara kati ya nchi tofauti afrika na kuimarisha maisha ya waafrika.