Naibu rais Gachagua kuongoza Kongamano la wakulima wa kahawa kaunti ya Meru

  • | K24 Video
    47 views

    Wakulima wa kahawa wametaka kongamano linaloandaliwa katika kaunti ya Meru kuanzia kesho liangazie kwa kina swala la kumkubalia mkulima kuuza kahawa yake moja kwa moja kwa mnunuzi . Wakulima wa kahawa kutoka kaunti ya Nyeri ambao wamemtaka naibu rais Rigathi Gachagua ambaye ameandaa kongamano hilo kumsikiza mkulima na wala sio wanaoongoza mashirika ya kahawa.