Naibu rais Kindiki aandamana na viongozi katika ziara ya kuzingatia maendeleo

  • | K24 Video
    352 views

    Naibu rais Kithure Kindiki leo ameonekana kuepuka kumshambulia naibu rais Rigathi Gachagua alipozuru ngome yake katika kaunti ya Nyeri tofauti alivyomkosoa vikali akiwa Nairobi. Kindiki aliyeandama na viongozi wa kaunti hiyo katika ziara ya maendeleo eneo bunge la Kieni aliepuka siasa na kusisitiza kuwa hiki ni kipindi cha kuzingatia maendeleo, hiyo ni ziara ya kwanza ya Kindiki katika kaunti ya Nyeri tangu awe naibu rais.