25 Feb 2026 8:00 pm | Citizen TV 811 views Duration: 1:29 Naibu rais Kithure Kindiki amewasuta viongozi wa upinzani kwa kile alichotaja kama siasa za uchochezi ilhali hawawajibikii muda waliochaguliwa kuwahudumia wakenya