Naibu rais Kithure Kindiki akanusha madai ya kuwahonga wananchi

  • | Citizen TV
    2,289 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amejitetea dhidi ya madai ya kuhonga wananchi kwa kutoa mamilioni ya pesa katika maeneo yanayoonekana kutoshabikia serikali ya Kenya Kwanza.