Naibu rais Kithure Kindiki amesema kuwa serikali itaendelea kufanya kazi licha ya keleleza kisiasa

  • | Citizen TV
    189 views

    Kindiki amesema kuwa serikali inafanya kila juhudi kutekeleza sera yake ya bottom up kw akuinua maisha ya wananchi. kindiki amesema kuwa mradi huo utakamilika katika siku theathini zijazo na kuwafaisi wakazi wa Kipsing, Bassa, Boru, Kinna, Garfassa, Yamicha na Malkadaka.