Naibu Rais Rigathi Gachagua apuuza ari ya Azimio ya kukusanya saini 10M

  • | Citizen TV
    5,379 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekejeli hatua ya upinzani ya kukusanya sahihi milioni kumi ya kufanya kura ya maoni dhidi ya serikali akisema kuwa ni kazi ya bure.