Naibu rais Rigathi Gachagua asema serikali haitalegeza kamba kwenye vita dhidi ya pombe haramu

  • | Citizen TV
    314 views

    Niabu wa rais Rigathi Gachagua amewatahadharisha maafisa wa serikali dhidi ya kupambana na pombe haramu eneo la kati. Gachagua amezungumza akiwa Murang’a ambapo alisema ameghadhabishwa na vifo vya watu 13 huko kangata mwea kaunti ya kirinyaga. Kulingana naye, serikali ya Kenya Kwanza haitalegeza kamba kwenye vita dhidi ya pombe haramu.