Naibu Rais Rigathi Gachagua ataka sheria kali kukabili pombe haramu na mihadarati

  • | Citizen TV
    670 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaka sheria kali za kupambana na pombe na dawa za kulevya kuwekwa kama njia moja ya kupunguza ulevi na matumizi ya mihadarati nchini