Naibu Rais Rigathi Gachagua atarajiwa kufungua maonyesho ya kilimo kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    264 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua anatarajiwa kufungua rasmi maonyesho ya kilimo Nakuru mwaka huu 2023 .Mwaka huu maonyesho ya kilimo ikiwavutia wenye vibanda vya maonyesho mia moja hamsini ikilingalishwa na idadi ya mwaka Jana iliovutia vibanda themanini na sita .