Naibu rais Rigathi Gachagua awashtumu wabunge waliounga mkono mswada tata wa fedha

  • | Citizen TV
    3,466 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ameendelea kuzungumzia haja ya mazungumzo kati ya Rais, vijana na wadau wengine yanayofuatia misururu ya maandamano ya kutoridhishwa na utendakazi wa serikali. Gachagua aidha amejitenga na wabunge waliounga mkono mswada tata wa fedha, akiwashutumu kwa kile anasema ni kufeli kwenye majukumu yao kama wawakilishi.