Naibu Rais Rigathi Gachagua awatahadharisha maafisa wa serikali wanaopuuza sheria

  • | KBC Video
    88 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amewatahadharisha maafisa wa polisi kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya polisi na maafisa wengine wa serikali ya kitaifa ambao watajihusisha katika kuwafurusha watu kabla ya kushauriana na wadau wengine. Akizungumza katika kaunti ya Nakuru, naibu rais alisema polisi na maafisa wengine wa serikali wanajukumu la kulinda maisha na mali ya Wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rigathigachagua #News