Naibu Rais Rigathi Gachagua kutangaza majina ya maafisa waliopora fedha wakati wa utawala uliopita

  • | KBC Video
    58 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema atadokeza majina ya maafisa wakuu wa umma waliopora shilingi bilioni 24 pesa za umma. Gachagua aliongeza kwamba katika muda wa siku chache zijazo,atatangaza majina ya watu hao waliotumia muda wa mpito wa miezi mitatu baada ya uchaguzi mkuu kupora pesa hizo za umma.Naibu raia aliahidi kwamba serikali itakatiza mipango ya watu wachache ya kutekeleza ukiritimba katika uuzaji wa bidhaa fulani nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubiniwikendi #RigathiGachagua