Naibu rais Ruro adai Raila haina ajenda zaidi za kufaidi wanainchi

  • | K24 Video
    402 views

    Viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza wakiongozwa na naibu rais William Ruto wameendeleza kampeni zao katika kaunti za Laikipia na Nakuru. Ruto ameendelea kupigia debe mpango wa Bottom up akisema ndio suluhisho kwa uchumi wa taifa.