Naibu rais William Ruto afanya kampeni siku ya nne Nairobi

  • | Citizen TV
    Naibu rais William Ruto afanya kampeni siku ya nne Nairobi Ruto afanya kampeni katika ngome yake Raila huko Kibra Ruto atoa ahadi za ajira kwa vijana, masoko ya kutosha na maji safi kwa wakazi Ruto alizuru maeneo bunge ya Lang’ata, Daroretti kusini, Dagoretti kaskazini na Westlands Ruto pia aliwarai wakazi wa maeneo hayo kujitokeza kusajiliwa kupiga kura