Naibu rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kusita kuendeleza siasa za matusi na udanganyifu

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kusita kuendeleza siasa za matusi na udanganyifu wakati wanapokabiliana na mirengo mingine ya kisiasa . Ruto amesema viongozi badala yake wanafaa kuendeleza ushindani wa kisiasa kwa kuzingatia maswala muhimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya