Naibu wa gavana William Odoul anakaribia kutemwa

  • | K24 Video
    49 views

    Bunge la kaunti ya Siaya kwa wingi limeunga hoja ya kumbandua mamlakani naibu gavana wa kaunti hiyo William Odoul bunge hilo limesema linambandua naibu gavana huyo ambaye amekuwa akiibua madai ya ufisadi dhidi ya gavana Orengo kuhusu fedha za kaunti kwa misingi ya utovu wa nidhamu ,kwa kusambaza habari zisizo za kweli na ukiukaji wa sheria