Naibu wa Rais asema wakenya zaidi ya 25m wamesajiliwa

  • | Citizen TV
    59 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki ametangaza kuwa zaidi ya wakenya milioni 25 wamejisajili katika mpango wa bima ya afya ya taifa care , akisema hatua hiyo ni ya kihistoria na itabadilisha kabisa huduma za afya nchini.akizungumza katika ziara ya kukagua utekelezaji wa mpango wa taifa care katika maeneo ya pwani, kindiki alieleza kuwa mpango huo unatekelezwa kwa mafanikio makubwa, huku akizitaja kaunti za pwani kuwa mfano bora wa kuigwa