Nairobi City Thunder waanza kampeni ya taji la Nile Conference dhidi ya APR leo Kigali

  • | NTV Video
    56 views

    Miamba wa Kenya Nairobi City Thunder wataanza kampeni ya kuwania taji la Nile Conference la ligi ya mpira wa kikapu Barani Afrika dhidi ya wenyeji APR hii leo katika ukumbi wa BK Arena jijini Kigali, Rwanda.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya