Nairobi City Thunder yang'aa kwenye mchuano wa kuwania klabu bingwa kwenye mpira wa kikapu Afrika

  • | Citizen TV
    218 views

    Timu ya Nairobi City Thunder imeendeleza matokeo bora kwenye mchuano wa kuwania kufuzu klabu bingwa afrika kwa mpira wa kikapu wakiilaza Kriol Star ya Cape Verde 104-68.