Nairobi: Taharuki baada ya serikali kupiga marufuku muziki, grafiti na vioo vyeusi kwenye matatu

  • | NTV Video
    21,630 views

    Kumezuka taharuki kwa wamiliki wa matatu jijini Nairobi kufuatia kuzuka kwa agizo la kupiga marufuku ya kuwepo kwa grafiti, muziki na vioo vyeusi ndani ya matatu yaani tinted windows.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya