- 142 viewsDuration: 1:14Timu ya Nairobi United ilirejea kutoka kipigo chao cha 3-0 dhidi ya Sofapaka na kuwafunga Bandari fc 3-1 kwenye mechi pekee ya ligi kuu ya kenya iliyochezwa kwenye uwanja wa dandora jumanne alasiri. Mechi hiyo ilikuwa ngumu katika kipindi cha kwanza kilichomalizika kwa sare ya 1-1.