Nairobi yaongoza kwa uvutaji wa bangi nchini

  • | Citizen TV
    661 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupambana na utumizi wa pombe na mihadarati, halmashauri ya kudhibiti utumizi wa dawa za kulevya NACADA imetoa ripoti inayoashiria kuwa vijana wa changa wa kuanzia miaka sita wanashiriki uvutaji sigara. Takwimu hizi zimetolewa huku kaunti ya tharaka nithi ikifunga maeneo 450 ya kuuza pombe ambayo hayana leseni za kuendesha biashara hii.