Nairobi yaweka mikakati ya kudhibiti mafuriko ya El-Nino

  • | Citizen TV
    646 views

    Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amesema serikali ya kaunti itaanza kubomoa nyumba na vibanda ambavyo vimejengwa kwenye mitaro ya kupitisha maji taka.