Naivas imesherehekea miaka 35 tangu kuanzishwa

  • | Citizen TV
    494 views

    Duka kuu la Naivas limeadhimisha miaka thelathini na tano tangu kuanzishwa kwa kutoa mchango wa shilingi milioni tano kwa kituo cha watoto cha mogra katika kaunti ya Kiambu.