Nakala ya Video yaonyesha Wanaume wakiwa na silaha wavamia Meli katika Bahari ya Sham

  • | VOA Swahili
    361 views
    Wahouthi nchini Yemen wametoa kanda ya video ikiwaonyesha wanaume waliokuwa na silaha wakishuka kutoka kwenye helikopta na kuikamata meli ya mizigo kusini mwa Bahari ya Sham. Video hiyo ilitolewa na kituo cha televisheni cha Al Masirah siku moja baada ya meli hiyo kutekwa na kundi hili ambalo linaungwa mkono na Iran. #Houth #Yemen #israel #Palestine #Redsea