'Nakumbuka uchangamfu wa wazazi wangu' - Yatima wa Gaza katika sherehe za Eid

  • | BBC Swahili
    1,027 views
    Takriban watoto 17,000 wa Gaza hawana wamebaki wenyewe au wametenganishwa na wazazi wao, kwa mujibu wa Unicef. BBC imezungumza na watoto waliobaki yatima kutokana na vita ambao sasa wanaishi kwenye mahema huko Rafah, kusini mwa Gaza. Layan, 11, anakumbuka jinsi Eid, sherehe ya kuadhimisha mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ilivyokuwa nyumbani kabla ya vita. #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw