Nakuru: Wanafunzi 7,000 wanufaika na ifadhili wa masomo kupitia hazina ya NG-CDF

  • | NTV Video
    126 views

    Wanafunzi elfu saba kutoka shule za kutwa katika eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru wamenufaika na ufadhili wa masomo kupitia hazina ya NG-CDF ya eneo bunge hilo kwa takribani milioni kumi na tatu nukta tano.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya