Namna mchezo wa kompyuta unavyoweza kuokoa maisha katika tetemeko la ardhi

  • | BBC Swahili
    877 views
    Tetemeko la ardhi linapotokea mara nyingi watu hufanya mambo hayapaswi kufanywa. Hisia huchukua nafasi na unaweza ukasimama au kuanza kukimbia bila kufikiria. Lakini chuo kikuu nchini Ureno kimeunda mchezo wa komyuta [game] ambao unatengeneza jinsi hali inavyokuwa wakati ardhi inapoanza kutikisika. Inatumiwa na wanafunzi wa Indonesia ambayo huathiriwa na matetemeko ya ardhi ili kuwatayarisha vizuri zaidi tetemeko linapotokea. #bbcswahili #indonesia #ureno Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw