Namna Mfalme Charles wa Uingereza alivyotupiwa mayai

  • | BBC Swahili
    0 views
    Mfalme Charles na mkewe walirushiwa mayai kadhaa wakiwa katika ziara kwenye jiji la York nchini Uingereza. Familia ya kifalme ilikuwa ikikaribishwa na viongozi wa jiji wakati mayai hayo yakiruswa kuelekea kwao. Hakuna yai hata moja lililowapata Tazama #bbcswahili #uingereza #princecharles #queenconsortcamilla