Namna mifugo iliyodhoofika inavyouzwa kwa bei za kutupwa Amboseli

  • | BBC Swahili
    648 views
    Katika msimu huu wa kiangazi mjini Kimana katika mbuga ya wanyama pori ya Amboseli, wafugaji wa ng’ombe wanalazimika kuuza kwa bei ya chini ili mifugo yao isifie nyumbani. Baadhi ya ng'ombe wanaletwa wakiwa wamedhoofika huku wengine wakiwa wamekonda kwa kukosa chakula 📸 @judith_wambare #bbcswahili #kenya #wanyama